1870
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 18 |
Karne ya 19
| Karne ya 20
| ►
◄ |
Miaka ya 1840 |
Miaka ya 1850 |
Miaka ya 1860 |
Miaka ya 1870
| Miaka ya 1880
| Miaka ya 1890
| Miaka ya 1900
| ►
◄◄ |
◄ |
1866 |
1867 |
1868 |
1869 |
1870
| 1871
| 1872
| 1873
| 1874
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1870 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]| Kalenda ya Gregori | 2026 MMXXVI |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5786 – 5787 |
| Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2779 |
| Kalenda ya Ethiopia | 2018 – 2019 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1475 ԹՎ ՌՆՀԵ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1448 – 1449 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1404 – 1405 |
| Kalenda za Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 2081 – 2082 |
| - Shaka Samvat | 1948 – 1949 |
| - Kali Yuga | 5127 – 5128 |
| Kalenda ya Kichina | 4722 – 4723 乙巳 – 丙午 |
- 20 Machi - Paul von Lettow-Vorbeck, mwanajeshi wa Dola la Ujerumani, hasa nchini Tanzania
- 22 Aprili - Vladimir Lenin, kiongozi wa Umoja wa Kisovyeti hadi 1924
- 13 Juni - Jules Bordet (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1919)
- 30 Septemba - Jean Perrin (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1926)
- 22 Oktoba - Ivan Bunin (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1933)
bila tarehe
- Mtakatifu Dionisi Ssebuggwawo, mmojawapo wa Wafiadini wa Uganda
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 9 Juni - Charles Dickens, mwandishi kutoka Uingereza
- 13 Julai - Mtakatifu Klelia Barbieri, bikira kutoka Italia
- 24 Oktoba - Mtakatifu Antoni Maria Claret, askofu Mkatoliki kutoka Hispania